summaryrefslogtreecommitdiff
path: root/chromium/chrome/app/resources/google_chrome_strings_sw.xtb
blob: ef04fde2c9ffe6c01bd0a8ef51a114d124b7eb93 (plain)
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
209
210
211
212
213
214
215
216
217
218
219
220
221
222
223
224
225
226
227
228
229
230
231
232
233
234
235
236
237
238
239
240
241
242
243
244
245
246
247
248
249
250
251
252
253
254
255
256
257
258
259
260
261
262
263
264
265
266
267
268
269
270
271
272
273
274
275
276
277
278
279
280
281
282
283
284
285
286
287
288
289
290
291
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1001534784610492198">Kumbukumbu ya kisanidi imevurugika au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="1035334672863811645">ingia katika Chrome</translation>
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.

Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="1088300314857992706"><ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" /> ilikuwa ikitumia Chrome awali</translation>
<translation id="1104959162601287462">Kuhusu &amp;Chrome OS</translation>
<translation id="110877069173485804">Hii ndiyo Chrome yako</translation>
<translation id="1142745911746664600">Imeshindwa kusasisha Chrome</translation>
<translation id="123620459398936149">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia Kusawazisha.</translation>
<translation id="127345590676626841">Chrome husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote. Upakuaji huu unapokamilika, Chrome itajizima na kuwaka tena na utaanza kutumia.</translation>
<translation id="1302523850133262269">Tafadhali subiri Chrome inaposakinisha sasisho mpya za mfumo.</translation>
<translation id="1350930993895295930">Chrome imegundua tabia isiyo ya kawaida</translation>
<translation id="137466361146087520">Google Chrome Beta</translation>
<translation id="1393853151966637042">Pata usaidizi wa kutumia Chrome</translation>
<translation id="1399397803214730675">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Google Chrome. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali sanidua Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="1434626383986940139">Programu za Chrome Canary</translation>
<translation id="1457721931618994305">Inasasisha Google Chrome...</translation>
<translation id="1469002951682717133">Kizinduzi cha Programu za Chrome</translation>
<translation id="1553358976309200471">Sasisha Chrome</translation>
<translation id="1587223624401073077">Google Chrome inatumia kamera yako.</translation>
<translation id="1587325591171447154"><ph name="FILE_NAME" /> ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="1619887657840448962">Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima kiendelezi kinachofuata ambacho hakijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na huenda kimeongezwa bila ridhaa yako.</translation>
<translation id="1628000112320670027">Pata usaidizi wa kutumia Chrome</translation>
<translation id="163860049029591106">Anza kutumia Chrome OS</translation>
<translation id="1653828314016431939">Sawa - Anzisha upya sasa</translation>
<translation id="1674870198290878346">Fungua Kiungo katika Dirisha Fiche la Chrome</translation>
<translation id="1682634494516646069">Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:

<ph name="USER_DATA_DIRECTORY" /></translation>
<translation id="1698376642261615901">Google Chrome ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya kasi, thabiti, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi kwa kinga dhidi ya programu hasidi na hadaa iliyojengwa ndani ya Google Chrome.</translation>
<translation id="1718131156967340976">Chagua <ph name="SMALL_PRODUCT_LOGO" /> <ph name="BEGIN_BOLD" />Google Chrome<ph name="END_BOLD" /></translation>
<translation id="174539241580958092">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu ya kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="1759301979429102118">Maelezo kutoka kwa anwani zako yanaweza kukusaidia kujaza fomu kwa haraka zaidi katika Chrome.</translation>
<translation id="1759842336958782510">Chrome</translation>
<translation id="1773601347087397504">Pata msaada wa kutumia Chrome OS</translation>
<translation id="1795405610103747296">Sakinisha Chrome kwenye simu yako. Tutatuma SMS kwenye simu yako: <ph name="PHONE_NUMBER" /></translation>
<translation id="1874309113135274312">Google Chrome Beta (mDNS-In)</translation>
<translation id="1877026089748256423">Toleo hili la Chrome limepitwa na wakati</translation>
<translation id="2063848847527508675">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome unahitaji kuzimwa na kuwashwa upya ili utumie sasisho.</translation>
<translation id="2077129598763517140">Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana</translation>
<translation id="2084710999043359739">Ongeza kwenye Chrome</translation>
<translation id="2120620239521071941">Hatua hii itafuta vipengee <ph name="ITEMS_COUNT" /> kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chrome ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="2123055963409958220">Saidia kuboresha Chrome kwa kuripoti kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />mipangilio ya sasa<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="216054706567564023">Sakinisha Chrome kwenye simu yako. Tutatuma SMS kwenye nambari yako ya simu ya mbinu za kurejesha uwezo wa kufikia akaunti.</translation>
<translation id="2246246234298806438">Google Chrome haiwezi kuonyesha uhakiki wa kuchapisha wakati kionyeshi kilichojengewa ndani cha PDF kinakosekana.</translation>
<translation id="2252923619938421629">Saidia kuboresha Google Chrome kwa kuripoti mipangilio ya sasa</translation>
<translation id="2286950485307333924">Sasa umeingia katika Chrome</translation>
<translation id="2290014774651636340">Funguo za API za Google zinakosekana. Baadhi ya utendaji wa Google Chrome utazimwa.</translation>
<translation id="2290095356545025170">Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome?</translation>
<translation id="2309047409763057870">Huu ni usakinishaji wa pili wa Google Chrome, na haiwezi kufanywa kuwa kivinjari chako chaguo-msingi.</translation>
<translation id="2316129865977710310">La, asante</translation>
<translation id="2334084861041072223">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Google Inc. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="2346876346033403680">Awali mtu aliingia katika Chrome kwenye kompyuta hii kama <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST" />. Iwapo hiyo sio akaunti yako, weka mtumiaji mwengine wa Chrome ili utenganishe maelezo yako.

Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chrome kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye <ph name="ACCOUNT_EMAIL_NEW" />.</translation>
<translation id="2397416548179033562">Onyesha Menyu ya Chrome</translation>
<translation id="2416359993254398973">Ruhusu Chrome ifikie kamera yako ya tovuti hii.</translation>
<translation id="2429317896000329049">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="2446511512801740068">Muda wa matumizi wa Chrome umeisha kwa sababu haijafunguliwa upya kwa muda mrefu. Sasisho linapatikana na litaanza kutumika pindi tu utakapofungua upya.</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="2580411288591421699">Huwezi kusakinisha toleo la Google Chrome ambalo tayari linatumika. Tafadhali funga Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="2586406160782125153">Hatua hii itafuta data yako ya kuvinjari kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chrome ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="2588322182880276190">Nembo ya Chrome</translation>
<translation id="2652691236519827073">Fungua Kiungo katika kichupo kipya cha Chrome</translation>
<translation id="2664962310688259219">Leseni za programu huria kwenye Chrome OS</translation>
<translation id="2665296953892887393">Saidia kuboresha Google Chrome kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na <ph name="UMA_LINK" /> kwenda Google</translation>
<translation id="2689103672227170538">Kiendelezi hiki kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="2769762047821873045">Google Chrome si kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:</translation>
<translation id="2799223571221894425">Funga na ufungue</translation>
<translation id="2847461019998147611">Onyesha Google Chrome katika lugha hii</translation>
<translation id="2871893339301912279">Umeingia kwenye Chrome!</translation>
<translation id="2888126860611144412">Kuhusu Chrome</translation>
<translation id="3037838751736561277">Google Chrome iko katika hali ya chini chini.</translation>
<translation id="3047079729301751317">Kuondoa <ph name="USERNAME" /> kutafuta historia, alamisho, mipangilio, na data zako nyingine kwenye Chrome zilizohifadhiwa kwenye kifaa hiki. Data iliyohifadhiwa katika Akaunti ya Google haitafutwa na inaweza kudhibitiwa kwenye <ph name="GOOGLE_DASHBOARD_LINK" />Dashibodi ya Google<ph name="END_GOOGLE_DASHBOARD_LINK" />.</translation>
<translation id="3065168410429928842">Kichupo cha Chrome</translation>
<translation id="3080151273017101988">Endelea kuendesha programu zinazofanya kazi chini chini wakati Google Chrome imefungwa</translation>
<translation id="3089968997497233615">Kuna toleo jipya na salama la Google Chrome.</translation>
<translation id="3149510190863420837">Programu za Chrome</translation>
<translation id="3180085900771989961">Lazima msimamizi wako akuondoe na kukuongeza tena kwenye Chrome.</translation>
<translation id="3251381707915721925">Ili uweke tovuti ambazo <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> anaweza kuona, unaweza kuweka vizuizi na mipangilio kwa kutembelea <ph name="BEGIN_LINK_1" /><ph name="DISPLAY_LINK" /><ph name="END_LINK_1" />. Usipobadilisha mipangilio chaguo-msingi <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> anaweza kuvinjari kila kitu kwenye wavuti.

Ili uzuie <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> asifikie akaunti yako, hakikisha kuwa umefunga wasifu wako wakati hutumii Chrome. Ili ufunge wasifu wako, bofya jina lako la wasifu katika upande wa juu kulia mwa kivinjari, kisha uchague "Ondoka kwenye wasifu wa sasa."
<ph name="BEGIN_LINK_2" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK_2" />

Tafadhali angalia barua pepe yako katika <ph name="ACCOUNT_EMAIL" /> upate maagizo zaidi.</translation>
<translation id="3282568296779691940">Ingia katika Chrome</translation>
<translation id="3360895254066713204">Msaidizi wa Chrome</translation>
<translation id="3395323229510056640">Pata usaidizi wa kutumia mfumo wa uendeshaji wa Chrome</translation>
<translation id="3396977131400919238">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="3398288718845740432">Ficha katika Menyu ya Chrome</translation>
<translation id="3451115285585441894">Inaongeza kwenye Chrome...</translation>
<translation id="345171907106878721">Jiongeze kwenye Chrome</translation>
<translation id="3612333635265770873">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Google Chrome.</translation>
<translation id="3622797965165704966">Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chrome pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.</translation>
<translation id="3637702109597584617"><ph name="TERMS_OF_SERVICE_LINK" />Sheria na Masharti<ph name="END_TERMS_OF_SERVICE_LINK" /> ya Mfumo wa Uendeshaji wa Google Chrome</translation>
<translation id="3718181793972440140">Hatua hii itafuta kipengee 1 kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chrome ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="3735758079232443276">Kiendelezi hiki "<ph name="EXTENSION_NAME" />" kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="3738139272394829648">Gusa ili Utafute</translation>
<translation id="3780814664026482060">Chrome - <ph name="PAGE_TITLE" /></translation>
<translation id="3784527566857328444">Ondoa Kwenye Chrome...</translation>
<translation id="386202838227397562">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="3870154837782082782">Google Inc.</translation>
<translation id="3873044882194371212">Fungua kiungo katika dirisha fiche la Chrome</translation>
<translation id="3889417619312448367">Ondoa Google Chrome</translation>
<translation id="4028693306634653894">Fikia Google Chrome haraka</translation>
<translation id="4031074602479304239">Chrome imezuia tovuti hii kukuelekeza kwenye</translation>
<translation id="4042449298237264661">Kompyuta hii haitapokea tena sasisho za Google Chrome kwa sababu Windows XP na Windows Vista hazitumiki tena.</translation>
<translation id="4050175100176540509">Maboresho muhimu ya usalama na vipengele vipya vinapatikana katika toleo jipya.</translation>
<translation id="4053720452172726777">Dhibiti  na ugeuze Google Chrome ikufae</translation>
<translation id="4147555960264124640">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME" /> daima . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="4149882025268051530">Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="4251615635259297716">Ungependa kuunganisha data yako ya Chrome kwenye akaunti hii?</translation>
<translation id="4251625577313994583">pata Chrome kwenye iPhone yako</translation>
<translation id="4309555186815777032">(inahitaji uanzishaji upya wa <ph name="BEGIN_BUTTON" />Chrome<ph name="END_BUTTON" />)</translation>
<translation id="4328355335528187361">Google Chrome Dev (mDNS-In)</translation>
<translation id="4331809312908958774">Chrome OS</translation>
<translation id="4407807842708586359">Google Chrome OS</translation>
<translation id="4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.</translation>
<translation id="4458462641685292929">Kuna shughuli nyingine zinaendelea kwenye Google Chrome. Tafadhali jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="4480040274068703980">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="4561051373932531560">Google Chrome inakuwezesha kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipigia simu kwa Skype!</translation>
<translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
<translation id="4600710005438004015">Chrome imeshindwa kusasisha toleo jipya, kwa hivyo hutapata vipengele vipya na masasisho ya usalama.</translation>
<translation id="4631713731678262610">Ficha katika menyu ya Chrome</translation>
<translation id="4633000520311261472">Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
<translation id="4664415150087723341">Sasisho maalum la usalama wa Google Chrome limewekwa; unapaswa kuzima na kuwasha Chrome sasa ili lifanye kazi (tutarejesha vichupo vyako).</translation>
<translation id="4700157086864140907">Google Chrome inaweza kutoa ukaguzi bora wa tahajia kwa kutuma unachocharaza katika kivinjari hadi kwenye seva ya Google, ikikuruhusu utumie teknolojia ya kukagua tahajia inayotumiwa na huduma ya Tafuta na Google.</translation>
<translation id="4728575227883772061">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4743926867934016338">Kubali na Utafute</translation>
<translation id="4750550185319565338">Zima na uwashe Chrome tena ili uwashe <ph name="PLUGIN_NAME" /></translation>
<translation id="4754614261631455953">Google Chrome Canary (mDNS-In)</translation>
<translation id="4771048833395599659">Huenda faili hii ni hatari, kwa hivyo Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="4794050651896644714">Hifadhi maelezo katika Chrome</translation>
<translation id="4804732725083176494">Msimamizi amezima kipengele cha kuingia katika akaunti ya Chrome kwenye kifaa hiki.</translation>
<translation id="4891791193823137474">Ruhusu Google Chrome iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="4895437082222824641">Fungua kiungo katika kichupo kipya cha Chrome</translation>
<translation id="4921569541910214635">Ungependa kushiriki kompyuta? Sasa unaweza kusanidi Chrome kama tu unavyoipenda.</translation>
<translation id="4953650215774548573">Weka Google Chrome iwe kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
<translation id="495931528404527476">Katika Chrome</translation>
<translation id="4965682129423310439">Chrome imegundua programu hatari kwenye kompyuta yako. Chrome inaweza kuiondoa na kurejesha mipangilio yako ili kuwezesha kivinjari chako kufanya kazi tena kama kawaida.</translation>
<translation id="4990567037958725628">Kanari ya Google Chrome</translation>
<translation id="5028489144783860647">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.</translation>
<translation id="5037239767309817516">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na uianzishe upya ili mabadiliko haya yatekelezwe.</translation>
<translation id="5132929315877954718">Gundua programu, michezo, viendelezi na mandhari bora ya Google Chrome.</translation>
<translation id="5166975452760862670">Google Chrome inaonyeshwa katika lugha hii</translation>
<translation id="5170938038195470297">Wasifu wako huenda usitumike kwa sababu unatoka katika toleo jipya la Google Chrome.

Huenda baadhi ya vipengele visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au tumia toleo jipya la Chrome.</translation>
<translation id="5193136243808726294">Mfumo wa Uendeshaji wa Google Chrome hauwezi kufungua ukurasa huu.</translation>
<translation id="5204098752394657250">Sheria na Masharti za <ph name="TERMS_OF_SERVICE_LINK" />Google Chrome<ph name="END_TERMS_OF_SERVICE_LINK" /></translation>
<translation id="5243785881901838525">Google Payments (imenakiliwa kwenye Chrome)</translation>
<translation id="5251420635869119124">Walioalikwa wanaweza kutumia Chrome bila kuacha chochote nyuma.</translation>
<translation id="5253588388888612165">Ukishiriki kompyuta hii na <ph name="PROFILE_NAME" />, jiongeze kwenye Chrome ili uvinjari tofauti. Vinginevyo ondoa Akaunti yake ya Google.</translation>
<translation id="5284703908158630707">{SECONDS,plural, =1{Google Chrome itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde 1.}other{Google Chrome itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde #.}}</translation>
<translation id="5334545119300433702">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Google Chrome.</translation>
<translation id="5386244825306882791">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.</translation>
<translation id="5430073640787465221">Faili yako ya mapendekezo imeharibika au ni batili.

Google Chrome haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="5453904507266736060">Ruhusu Google Chrome Iendeshe Katika Mandharinyuma</translation>
<translation id="5495581687705680288">Vijenzi vilipakia katika Google Chrome</translation>
<translation id="5524843473235508879">Imezuia shughuli ya kuelekeza kwingine.</translation>
<translation id="556024056938947818">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
<translation id="5563479599352954471">Tafuta kwa mguso mmoja tu</translation>
<translation id="5566025111015594046">Google Chrome (mDNS-In)</translation>
<translation id="557283862590186398">Chrome inahitaji ruhusa ya kufikia maikrofoni yako kwa ajili ya tovuti hii.</translation>
<translation id="5620765574781326016">Pata maelezo kuhusu mada zilizo kwenye tovuti bila kuondoka kwenye ukurasa.</translation>
<translation id="565744775970812598">Huenda <ph name="FILE_NAME" /> ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="573759479754913123">Kuhusu Chrome OS</translation>
<translation id="5749068826913805084">Chrome inahitaji idhini ya kufikia hifadhi ili ipakue faili.</translation>
<translation id="5774845247549698882">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome unaonyeshwa katika lugha hii</translation>
<translation id="5855036575689098185">Programu unayotumia kwenye kompyuta yako haioani na Google Chrome.</translation>
<translation id="5877064549588274448">Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.</translation>
<translation id="5895138241574237353">Zzima na uwashe</translation>
<translation id="5906655207909574370">Inakaribia kukamilisha kusasishwa! Zima na uwashe kifaa chako ili ukamilishe kusasisha.</translation>
<translation id="5931853610562009806">Kwenye Mac, manenosiri yanaweza kuhifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kusawazishwa na watumiaji wengine wa Chrome wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.</translation>
<translation id="5940385492829620908">Wavuti, alamisho, na vitu vyako vingine vya Chrome vinapatikana hapa.</translation>
<translation id="5941830788786076944">Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="6014844626092547096">Sasa umeingia kwenye Chrome! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.</translation>
<translation id="6070348360322141662">Kwa usalama wa ziada, Google Chrome itasimba data yako kwa njia fiche</translation>
<translation id="6113794647360055231">Chrome imeboreshwa zaidi</translation>
<translation id="6169866489629082767"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Google Chrome</translation>
<translation id="61852838583753520">Sasisha Chrome OS</translation>
<translation id="6235018212288296708">Sheria ya ndani ya Google Chrome ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="6236285698028833233">Google Chrome imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.</translation>
<translation id="6291089322031436445">Programu za Chrome Dev</translation>
<translation id="6291549208091401781">Tayari Google Chrome imesakinishwa kwa watumiaji wote kwenye kompyuta yako.</translation>
<translation id="6338556085225130112">Inasasisha Google Chrome</translation>
<translation id="6368958679917195344">Chrome OS imewezeshwa na programu ya ziada ya <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS" />.</translation>
<translation id="6393863479814692971">Chrome inahitaji ruhusa ya kufikia kamera yako kwa ajili ya tovuti hii.</translation>
<translation id="6400076122676892962">Kompyuta hii itaacha kupokea sasisho za Google Chrome hivi karibuni kwa sababu Mac OS X 10.6, 10.7, na 10.8 hazitatumika tena.</translation>
<translation id="6410540444482791104">Unaweza kusaidia kuifanya Chrome kuwa salama na rahisi zaidi kutumia kwa kutuma kiotomatiki maelezo fulani ya mfumo na maudhui ya ukurasa kwa Google ili kusaidia kugundua programu na tovuti hatari.</translation>
<translation id="6470176598693778404">Kompyuta hii haitapokea tena sasisho za Google Chrome kwa sababu Mac OS X 10.6, 10.7, na 10.8 hazitumiki tena.</translation>
<translation id="6477562832195530369">{NUM_DOWNLOAD,plural, =1{Kipakuliwa kinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi kipakuliwa na kuondoka Google Chrome?}other{Vipakuliwa # vinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi vipakuliwa na kuondoka Google Chrome?}}</translation>
<translation id="6566149418543181476">Inasasisha Google Chrome <ph name="PROGRESS_PERCENT" /></translation>
<translation id="6598387184982954187">Unatumia <ph name="PROFILE_EMAIL" /> kusawazisha vitu vyako kwenye Chrome. Ili usasishe mapendeleo yako ya usawazishaji au utumie Chrome bila akaunti ya Google, tembelea <ph name="SETTINGS_LINK" />.</translation>
<translation id="6600954340915313787">Imenakiliwa kwenye Chrome</translation>
<translation id="6626317981028933585">Yasikitisha, mipangilio ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kikiwa kinatumika. Kuingiza mipangilio hiyo kwa Google Chrome, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.</translation>
<translation id="6634887557811630702">Google Chrome imesasishwa.</translation>
<translation id="6676384891291319759">Fika kwenye wavuti</translation>
<translation id="6697947395630195233">Chrome inahitaji kufikia maelezo ya mahali ulipo ili kuyashiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="683440813066116847">Sheria ya ndani ya Google Chrome Canary ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="686561893457936865">Nenda na Chrome kila mahali</translation>
<translation id="6883876366448858277">hutuma neno na muktadha wake kwenye Tafuta na Google, kurejesha ufafanuzi, picha, na matokeo mengine ya utafutaji.</translation>
<translation id="6885412569789873916">Programu za Chrome Beta</translation>
<translation id="6967962315388095737">Sheria ya kuingia ya Google Chrome Beta ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...</translation>
<translation id="6982337800632491844"><ph name="DOMAIN" /> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Google Chrome OS.</translation>
<translation id="6989339256997917931">Google Chrome imesasishwa, lakini hujaitumia kwa angalau siku 30.</translation>
<translation id="7098166902387133879">Google Chrome inatumia maikrofoni yako.</translation>
<translation id="7106741999175697885">Kidhibiti cha Shughuli - Google Chrome</translation>
<translation id="7161904924553537242">Karibu Google Chrome</translation>
<translation id="7164397146364144019">Unaweza kusaidia kuifanya Chrome kuwa salama na rahisi zaidi kutumia kwa kuripoti maelezo ya uwezekano wa matukio yasiyo salama kwa Google kiotomatiki.</translation>
<translation id="7185038942300673794"><ph name="EXTENSION_NAME" /> imeongezwa kwenye Chrome.</translation>
<translation id="7242029209006116544">Unaingia katika akaunti ykitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahishwa na <ph name="USER_NAME" /> daima. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kuunda kwa hiari wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chrome iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="729375352412857283">Kompyuta hii itaacha kupokea sasisho za Google Chrome hivi karibuni kwa sababu Windows XP na Windows Vista hazitatumika tena.</translation>
<translation id="7330164299247909639">Cheti hakijathibitishwa. Tafadhali ingia katika Google Chrome tena ukitumia <ph name="USER_NAME" /> au uwasiliane na msimamizi wako kwa maelezo zaidi. <ph name="ADDITIONAL_EXPLANATION" /></translation>
<translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
<translation id="7369650938475876456">Tumia nenosiri thabiti lililozalishwa na Chrome</translation>
<translation id="7398801000654795464">Uliingia kwenye Chrome kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Tafadhali tumia akaunti sawa ili kuingia tena.</translation>
<translation id="7408085963519505752">Masharti ya Chrome OS</translation>
<translation id="7419046106786626209">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani katika kikoa chako.</translation>
<translation id="7437998757836447326">Ondoka kwenye Chrome</translation>
<translation id="7459554271817304652">Sanidi Usawazishaji ili kuhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Google Chrome kwenye kompyuta yoyote.</translation>
<translation id="7473136999113284234">Chrome husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote.</translation>
<translation id="7473891865547856676">La Asante</translation>
<translation id="7494905215383356681">Leseni za programu huria kwenye Chrome</translation>
<translation id="7535429826459677826">Google Chrome Dev</translation>
<translation id="7552219221109926349">Onyesha Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome katika lugha hii</translation>
<translation id="7592736734348559088">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="7626032353295482388">Karibu kwenye Chrome</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="7756122083761163394">Data ya kuvinjari ya mtu huyu itafutwa kwenye kifaa hiki. Ili kurejesha data, ingia katika Chrome ukitumia $2.</translation>
<translation id="7761834446675418963">Bofya jina lako ili ufungue Chrome na uanze kuvinjari.</translation>
<translation id="7781002470561365167">Toleo jipya la Google Chrome linapatikana.</translation>
<translation id="7787950393032327779">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Google Chrome (<ph name="PROCESS_ID" />) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME" />). Chrome imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inayotumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue Chrome tena.</translation>
<translation id="7808348361785373670">Ondoa kwenye Chrome...</translation>
<translation id="7825851276765848807">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="7855730255114109580">Google Chrome imesasishwa</translation>
<translation id="7888186132678118370">Tundika Chrome kwenye upau wa kazi wa kompyuta yako</translation>
<translation id="7890208801193284374">Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chrome jinsi wapendavyo.</translation>
<translation id="7896673875602241923">Kuna mtu aliingia katika Chrome kwenye kompyuta hii akitumia <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST" />. Tafadhali ongeza wasifu mwingine wa Chrome ili utenganishe maelezo yako.</translation>
<translation id="7908168227788431038">Inakaribia kusasishwa! Anzisha Google Chrome upya ili imalize kusasisha.</translation>
<translation id="795025003224538582">Usianzishe upya</translation>
<translation id="8005540215158006229">Chrome inakaribia kuwa tayari.</translation>
<translation id="8008534537613507642">Sakinisha Chrome Upya</translation>
<translation id="8030318113982266900">Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha <ph name="CHANNEL_NAME" />...</translation>
<translation id="8032142183999901390">Baada ya kuiondoa akaunti yako kwenye Chrome, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi.</translation>
<translation id="8129812357326543296">Kuhusu &amp;Google Chrome</translation>
<translation id="8179874765710681175">Sakinisha Chrome kwenye simu yako. Tutakutumia SMS kwenye simu yako.</translation>
<translation id="8183957050892517584">Chrome itahifadhi salama maelezo yako ya kibinafsi ili usihitaji kuyaandika tena.</translation>
<translation id="8255190535488645436">Google Chrome inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
<translation id="8286862437124483331">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
<translation id="8290100596633877290">Ho! Google Chrome imezimika. Ianzishe tena sasa?</translation>
<translation id="8342675569599923794">Faili hii ni hatari, kwa hivyo Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="8406086379114794905">Saidia kuboresha Chrome</translation>
<translation id="8439301513305169426">Chrome itahifadhi nenosiri hili kwenye <ph name="SAVED_PASSWORD_LINK" />. Huhitaji kulikumbuka.</translation>
<translation id="8455999171311319804">Hiari: Saidia kuboresha Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome kwa kutuma data ya uchunguzi na matumizi kwa Google kiotomatiki.</translation>
<translation id="8478823064122749032">Sakinisha Chrome kwenye simu yako. Tutatuma SMS kwenye nambari yako ya simu ya mbinu za kurejesha uwezo wa kufikia akaunti: <ph name="PHONE_NUMBER" /></translation>
<translation id="8521348052903287641">Sheria ya kuingia ya Google Chrome Dev ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="8540666473246803645">Google Chrome</translation>
<translation id="8547799825197623713">Canary ya Kizinduzi cha Programu ya Chrome</translation>
<translation id="8556340503434111824">Kuna toleo jipya linalopatikana la Google Chrome, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="8568392309447938879">Unahitajika kuingia katika akaunti ya Chrome ili utumie programu hizi. Hii huruhusu Chrome kusawazisha programu zako, alamisho, historia, manenosiri na mipangilio mingine katika vifaa vyote.</translation>
<translation id="8606668294522778825">Huenda Google Chrome ikatumia huduma za wavuti kuboresha hali yako ya kuvinjari. Unaweza chagua kuzima huduma hizi. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="8614913330719544658">Google Chrome imelemazwa. Izindue upya sasa?</translation>
<translation id="8667808506758191620">Kifaa chako cha <ph name="DEVICE_TYPE" /> kimesasishwa.</translation>
<translation id="8669527147644353129">Msaidizi wa Google Chrome</translation>
<translation id="8679801911857917785">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="870251953148363156">Sasisha &amp;Google Chrome</translation>
<translation id="873133009373065397">Google Chrome haijafaulu kubainisha wala kuweka kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="8796108026289707191">Unapaswa kuzima na kuwasha Google Chrome sasa.</translation>
<translation id="8823341990149967727">Toleo hili la Chrome Limepitwa na Wakati</translation>
<translation id="884296878221830158">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome au unapobofya kitufe cha Mwanzo.</translation>
<translation id="8851136666856101339">kuu</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="8914504000324227558">Zindua upya Chrome</translation>
<translation id="9026991721384951619">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="9067395829937117663">Google Chrome inahitaji Windows 7 au toleo jipya zaidi.</translation>
<translation id="9084668267983921457">Cheti hakijathibitishwa. Tafadhali ingia katika Google Chrome tena au uwasiliane na msimamizi wako kwa maelezo zaidi. <ph name="ADDITIONAL_EXPLANATION" /></translation>
<translation id="9107728822479888688"><ph name="BEGIN_BOLD" />Onyo:<ph name="END_BOLD" /> Google Chrome haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya utafutaji. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, acha kuchagua hiari hii.</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
<translation id="919706545465235479">Sasisha Chrome ili uanze kusawazisha</translation>
<translation id="924447568950697217">Fanya Chrome iwe kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
<translation id="989369509083708165">Google Chrome ni kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
</translationbundle>