summaryrefslogtreecommitdiff
path: root/chromium/chrome/app/resources/chromium_strings_sw.xtb
blob: d7f6f91751755026a7ac6c7dd943798a40fdda5f (plain)
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
209
210
211
212
213
214
215
216
217
218
219
220
221
222
223
224
225
226
227
228
229
230
231
232
233
234
235
236
237
238
239
240
241
242
243
244
245
246
247
248
249
250
251
252
253
254
255
256
257
258
259
260
261
262
263
264
265
266
267
268
269
270
271
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.

Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="1115445892567829615">Chromium haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.</translation>
<translation id="113122355610423240">Chromium ni kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
<translation id="1170115874949214249">Sakinisha Chromium kwenye simu yako. Tutatuma SMS kwenye nambari yako ya simu ya mbinu za kurejesha uwezo wa kufikia akaunti.</translation>
<translation id="1174473354587728743">Ungependa kushiriki kompyuta? Sasa unaweza kusanidi Chromium kama tu unavyoipenda.</translation>
<translation id="1185134272377778587">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="1298199220304005244">Pata msaada unapotumia Chromium OS</translation>
<translation id="1396446129537741364">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
<translation id="1403254041219632970">Matoleo ya siku za usoni ya Chromium hayatatumia tena Mac OS X 10.6, 10.7, au 10.8.</translation>
<translation id="1414495520565016063">Umeingia kwenye Chromium!</translation>
<translation id="1440917365206527807">Chromium imezuia tovuti hii kukuelekeza kwenye</translation>
<translation id="1444754455097148408">Leseni za programu huria kwenye Chromium</translation>
<translation id="1502360822835740515">Fanya Chromium iwe kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
<translation id="151962892725702025">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="1559451348202814456">Huenda Chromium isifanye kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye Mac OS X 10.6, 10.7, au 10.8.</translation>
<translation id="1653828314016431939">Sawa - Anzisha upya sasa</translation>
<translation id="1668054258064581266">Baada ya kuondoa akaunti yako kwenye Chromium, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi.</translation>
<translation id="1688750314291223739">Sanidi Usawazishaji ili uhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Chromium katika kompyuta yoyote</translation>
<translation id="1708666629004767631">Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium.</translation>
<translation id="1774152462503052664">Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="1779356040007214683">Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
<translation id="1808667845054772817">Sakinisha Chromium Upya</translation>
<translation id="1869480248812203386">Unaweza kusaidia kuifanya Chromium salama na rahisi zaidi kutumia kwa kuripoti maelezo ya uwezekano wa matukio yasiyo salama kwa Google kiotomatiki.</translation>
<translation id="1881322772814446296">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio nyingine itahusishwa na<ph name="USER_NAME" /> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza  kuunganisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kwa hiari kuunda wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chromium iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="1929939181775079593">Chromium haiamiliki. Zindua upya sasa?</translation>
<translation id="1966382378801805537">Chromium haijafaulu kubainisha wala kuweka kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="1967743265616885482">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
<translation id="2008474315282236005">Hatua hii itafuta kipengee 1 kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="2077129598763517140">Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana</translation>
<translation id="2119636228670142020">Kuhusu Chromium OS</translation>
<translation id="2158734852934720349">Leseni za programu huria kwenye Chromium OS</translation>
<translation id="2241627712206172106">Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chromium jinsi wapendavyo.</translation>
<translation id="2265088490657775772">pata Chromium kwenye iPhone yako</translation>
<translation id="2316129865977710310">La, asante</translation>
<translation id="2347108572062610441">Kiendelezi hiki kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="2389622953163669926">{NUM_DOWNLOAD,plural, =1{Kipakuliwa kinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi kipakuliwa na kuondoka Chromium?}other{Vipakuliwa # vinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi vipakuliwa na kuondoka Chromium?}}</translation>
<translation id="2396765026452590966">Kiendelezi hiki "<ph name="EXTENSION_NAME" />" kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="2483889755041906834">Katika Chromium</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="2486653164587200256">Huenda Chromium isifanye kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye Windows XP au Windows Vista.</translation>
<translation id="2527042973354814951">Zima na uwashe Chromium tena ili uwashe <ph name="PLUGIN_NAME" /></translation>
<translation id="2535480412977113886">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="2572494885440352020">Kisaidizi cha Chromium</translation>
<translation id="2587578672395088481">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium unahitaji kuzimwa na kuwashwa ili kutumia sasisho.</translation>
<translation id="2647554856022461007">Chromium inaweza kutumia huduma za wavuti kuboresha hali yako ya kuvinjari. Unaweza kuzima huduma hizi kwa hiari. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="2648074677641340862">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa usakinishaji. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="2685838254101182273">Chromium imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.</translation>
<translation id="2711502716910134313">Kichupo cha Chromium</translation>
<translation id="2718390899429598676">Kwa usalama ulioongezwa, Chromium itasimba data yako kwa njia fiche.</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:</translation>
<translation id="2799223571221894425">Funga na ufungue</translation>
<translation id="2847479871509788944">Ondoa kwenye Chromium...</translation>
<translation id="2886012850691518054">Si lazima: Saidia kuboresha Chromium kwa kutumia Google takwimu za matumizi na ripoti wakati wowote huduma hii inapoacha kufanya kazi.</translation>
<translation id="2898082584336937987">Sakinisha Chromium kwenye simu yako. Tutatuma SMS kwenye nambari yako ya simu: <ph name="PHONE_NUMBER" /></translation>
<translation id="2910007522516064972">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="2977470724722393594">Chromium imesasishwa</translation>
<translation id="3032787606318309379">Inaongeza kwenye Chromium...</translation>
<translation id="3046695367536568084">Unapaswa kuwa umeingia katika akaunti ya Chromium ili utumie programu hizi. Hii inaruhusu Chromium kusawazisha programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine katika vifaa vyote.</translation>
<translation id="3068515742935458733">Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na <ph name="UMA_LINK" /> kwenda Google</translation>
<translation id="3103660991484857065">Kisakinishi kilishindwa kufinyuza kumbukumbu. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="3130323860337406239">Chromium inatumia maikrofoni yako.</translation>
<translation id="3155163173539279776">Zindua upya Chromium</translation>
<translation id="3179665906251668410">Fungua Kiungo katika Dirisha Fiche la Chromium</translation>
<translation id="3190315855212034486">Lo! Chromium imevurugika. Unataka kuzindua upya sasa?</translation>
<translation id="3256316712990552818">Imenakiliwa kwenye Chromium</translation>
<translation id="3258596308407688501">Chromium haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:

<ph name="USER_DATA_DIRECTORY" /></translation>
<translation id="328888136576916638">Funguo za Google API zinakosekana. Utendaji fulani wa Chromium utazimwa.</translation>
<translation id="3296368748942286671">Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Chromium imefungwa</translation>
<translation id="3312805357485578561">Chromium imegundua tabia isiyo ya kawaida</translation>
<translation id="331951419404882060">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="3474745554856756813">Hatua hii itafuta vipengee <ph name="ITEMS_COUNT" /> kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="3509308970982693815">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="352783484088404971">Ondoa Kwenye Chromium...</translation>
<translation id="3549345495227188780">Anza kutumia Chromium OS</translation>
<translation id="3582788516608077514">Inasasisha Chromium...</translation>
<translation id="358997566136285270">Nembo ya Chromium</translation>
<translation id="3713809861844741608">Fungua kiungo katika kichupo kipya cha Chromium</translation>
<translation id="3738139272394829648">Gusa ili Utafute</translation>
<translation id="3762167353400286894">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium unaonyeshwa katika lugha hii</translation>
<translation id="378917192836375108">Chromium hukuruhusu kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipiga kwa Skype.</translation>
<translation id="3848258323044014972"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Chromium</translation>
<translation id="3849925841547750267">Cha kusikitisha, mipangilio yako ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kinapoendesha. Ili kuleta mipangilio hiyo kwenye Chromium, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.</translation>
<translation id="3852700440713538496">Tundika Chromium kwenye upau wa kazi wa kompyuta yako</translation>
<translation id="3889543394854987837">Bofya jina lako ili ufungue Chromium na uanze kuvinjari.</translation>
<translation id="390894725198123737">Kwenye Mac, manenosiri yanaweza kuhifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kusawazishwa na watumiaji wengine wa Chromium wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.</translation>
<translation id="4036079820698952681">Saidia kuboresha Chromium kwa kuripoti kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />mipangilio ya sasa<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="4050175100176540509">Maboresho muhimu ya usalama na vipengele vipya vinapatikana katika toleo jipya.</translation>
<translation id="407254336480250557">Chagua <ph name="SMALL_PRODUCT_LOGO" /> <ph name="BEGIN_BOLD" />Chromium<ph name="END_BOLD" /></translation>
<translation id="4077262827416206768">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na uizindue upya Chromium ili mabadiliko haya yaanze kufanya kazi.</translation>
<translation id="4207043877577553402"><ph name="BEGIN_BOLD" />Ilani:<ph name="END_BOLD" /> Chromium haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, ondoa tiki kwenye chaguo hili.</translation>
<translation id="421369550622382712">Gundua programu, michezo, viendelezi na mandhari bora ya Chromium.</translation>
<translation id="4222580632002216401">Sasa umeingia kwenye Chromium! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.</translation>
<translation id="4224199872375172890">Chromium imesasishwa.</translation>
<translation id="4230135487732243613">Ungependa kuunganisha data yako ya Chromium kwenye akaunti hii?</translation>
<translation id="4246125976471362530">{SECONDS,plural, =1{Chromium itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde 1.}other{Chromium itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde #.}}</translation>
<translation id="4271805377592243930">Pata usaidizi wa kutumia Chromium</translation>
<translation id="4285930937574705105">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Chromium inaendesha sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4330585738697551178">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
<translation id="4421155425831608516">Msimamizi wa kifaa hiki amezima kipengele cha kuingia katika akaunti ya Chromium.</translation>
<translation id="4423735387467980091">Dhibiti na ugeuze Chromium ikufae</translation>
<translation id="4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.</translation>
<translation id="4469812139324097969">Muda wa matumizi wa Chromium umeisha kwa sababu haijafunguliwa upya kwa muda mrefu. Sasisho linapatikana na litaanza kutumika pindi tu utakapofungua upya.</translation>
<translation id="4488554488975128561">Unaweza kusaidia kuifanya Chromium salama na rahisi zaidi kutumia kwa kutuma kiotomatiki maelezo fulani ya mfumo na maudhui ya ukurasa kwa Google ili kusaidia kugundua programu na tovuti hatari.</translation>
<translation id="4549794359424059447">Matoleo ya siku za usoni ya Chromium hayatatumia tena Windows XP au Windows Vista.</translation>
<translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
<translation id="459535195905078186">Programu za Chromium</translation>
<translation id="4611246891205775468">Chromium inahitaji ruhusa ya kufikia maikrofoni yako kwa ajili ya tovuti hii.</translation>
<translation id="4621240073146040695">Inakaribia kukamilisha kusasishwa! Anzisha Chromium upya ili ukamilishe kusasisha.</translation>
<translation id="4677944499843243528">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Chromium (<ph name="PROCESS_ID" />) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME" />). Chromium imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inatumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue tena Chromium.</translation>
<translation id="469338717132742108">Pata usaidizi wa kutumia mfumo wa uendeshaji wa Chromium</translation>
<translation id="4708774505295300557">Kuna mtu aliingia katika Chromium kwenye kompyuta hii akitumia <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST" />. Tafadhali ongeza wasifu mpya wa Chromium ili utenganishe maelezo yako.</translation>
<translation id="4714956846925717402">Fika kwenye Chromium haraka</translation>
<translation id="4743926867934016338">Kubali na Utafute</translation>
<translation id="4825874709045178029">Chromium inahitaji ruhusa ya kufikia kamerya yako kwa ajili ya tovuti hii.</translation>
<translation id="4888717733111232871">Sheria ya ndani ya Chromium ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="4943838377383847465">Chromium iko katika hali ya chini chini.</translation>
<translation id="4987820182225656817">Walioalikwa wanaweza kutumia Chromium bila kuacha kitu chochote nyuma.</translation>
<translation id="4994636714258228724">Jiongeze kwenye Chrome</translation>
<translation id="5032989939245619637">Hifadhi maelezo katika Chromium</translation>
<translation id="5045248521775609809">Nenda na Chromium kila mahali</translation>
<translation id="5116586539350239523">Chromium itahifadhi salama maelezo yako ya kibinafsi ili usihitaji kuyaandika tena.</translation>
<translation id="5231355151045086930">Ondoka kwenye Chromium</translation>
<translation id="5358375970380395591">Unaingia katika akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio miingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME" /> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza  kuunganisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="5386450000063123300">Inasasisha Chromium (<ph name="PROGRESS_PERCENT" />)</translation>
<translation id="5398878173008909840">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana.</translation>
<translation id="5427571867875391349">Weka Chromium kuwa kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
<translation id="5466153949126434691">Chromium husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote. Upakuaji huu unapokamilika, Chromium itajizima na kuwaka tena na utaanza kutumia.</translation>
<translation id="5479196819031988440">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium hauwezi kufungua ukurasa huu.</translation>
<translation id="549669000822060376">Tafadhali subiri Chromium inaposakinisha sasisho mpya ya mfumo.</translation>
<translation id="5524843473235508879">Imezuia shughuli ya kuelekeza kwingine.</translation>
<translation id="5563479599352954471">Tafuta kwa mguso mmoja tu</translation>
<translation id="5620765574781326016">Pata maelezo kuhusu mada zilizo kwenye tovuti bila kuondoka kwenye ukurasa.</translation>
<translation id="5634636535844844681">Chromium inahitaji Windows 7 au toleo jipya zaidi.</translation>
<translation id="5680901439334282664">ingia katika Chromium</translation>
<translation id="5698481217667032250">Onyesha Chromium katika lugha hii</translation>
<translation id="5726838626470692954">Lazima msimamizi wako akuondoe na kukuongeza tena kwenye Chromium.</translation>
<translation id="5768914737813585044">Onyesha Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium katika lugha hii</translation>
<translation id="5772805321386874569">(inahitaji uanzishaji upya wa  <ph name="BEGIN_BUTTON" />Chromium<ph name="END_BUTTON" />)</translation>
<translation id="5796460469508169315">Chromium inakaribia kuwa tayari.</translation>
<translation id="5820394555380036790">Chromium OS</translation>
<translation id="5862307444128926510">Karibu kwenye Chromium</translation>
<translation id="5877064549588274448">Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.</translation>
<translation id="5895138241574237353">Zzima na uwashe</translation>
<translation id="5902536751647951209">Cheti hakijathibitishwa. Tafadhali ingia katika Chromium tena au uwasiliane na msimamizi wako kwa maelezo zaidi. <ph name="ADDITIONAL_EXPLANATION" /></translation>
<translation id="5906655207909574370">Inakaribia kukamilisha kusasishwa! Zima na uwashe kifaa chako ili ukamilishe kusasisha.</translation>
<translation id="5942520288919337908"><ph name="EXTENSION_NAME" /> imeongezwa kwenye Chromium.</translation>
<translation id="59625444380784159">Maelezo kutoka kwa anwani zako yanaweza kukusaidia kujaza fomu kwa haraka zaidi katika Chromium.</translation>
<translation id="5987687638152509985">Sasisha Chromium ili uanze kusawazisha</translation>
<translation id="6055895534982063517">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="608189560609172163">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitalafu ya kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="6129621093834146363"><ph name="FILE_NAME" /> ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="6212496753309875659">Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali sanidua Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="6248213926982192922">Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="6295779123002464101">Huenda <ph name="FILE_NAME" /> ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="6309712487085796862">Chromium inatumia kamera yako.</translation>
<translation id="6333502561965082103">Shughuli nyingine zinaendelea kwenye Chromium. Tafadhali jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="6334986366598267305">Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chromium pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.</translation>
<translation id="6373523479360886564">Je, una hakika unataka kusanidua Chromium?</translation>
<translation id="6394232988457703198">Unapaswa kuzima na kuwasha Chromium sasa.</translation>
<translation id="6403826409255603130">Chromium ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya haraka, imara, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi dhidi ya hadaa na programu hasidi ukiwa na ulinzi uliojengwa ndani ya Chromium.</translation>
<translation id="6475912303565314141">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="6485906693002546646">Unatumia <ph name="PROFILE_EMAIL" /> kusawazisha vitu vyako vya Chromium. Ili usasishe mapendeleo yako ya usawazishaji au utumie Chromium bila akaunti ya Google, tembelea <ph name="SETTINGS_LINK" />.</translation>
<translation id="6505742536731484931">Chromium inahitaji kufikia maelezo ya mahali ulipo ili kushiriki maelezo ya mahali na tovuti hii.</translation>
<translation id="6510925080656968729">Sanidua Chromium</translation>
<translation id="6526111688217511984">Chromium inahitaji idhini ya kufikia hifadhi ili ipakue faili.</translation>
<translation id="6676384891291319759">Fika kwenye wavuti</translation>
<translation id="6717134281241384636">Wasifu wako hauwezi kutumiwa kwa sababu umetoka katika toleo jipya la Chromium.

Baadhi ya vipengele huenda visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au utumie toleo jipya la Chromium.</translation>
<translation id="6734080038664603509">Sasisha &amp;Chromium</translation>
<translation id="6734291798041940871">Tayari Chromium imesakinishwa kwa watumiaji wote kwenye kompyuta yako.</translation>
<translation id="6810143991807788455">Saidia kuboresha Chromium kwa kuripoti mipangilio ya sasa</translation>
<translation id="6857782730669500492">Chromium - <ph name="PAGE_TITLE" /></translation>
<translation id="6883876366448858277">hutuma neno na muktadha wake kwenye Tafuta na Google, kurejesha ufafanuzi, picha, na matokeo mengine ya utafutaji.</translation>
<translation id="6893813176749746474">Chromium imesasishwa, lakini hujaitumia angalau kwa siku 30.</translation>
<translation id="6944967875980567883">Vipengee vilivyopakiwa kwenye Chromium</translation>
<translation id="6964305034639999644">Fungua kiungo katika dirisha fiche la Chromium</translation>
<translation id="6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...</translation>
<translation id="705851970750939768">Sasisha Chromium</translation>
<translation id="7066436765290594559">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia kusawazisha.</translation>
<translation id="707471633328071618">Google Payments (imenakiliwa kwenye Chromium)</translation>
<translation id="7162152143154757523">Chromium inaweza kutoa ukaguzi bora wa tahajia kwa kutuma unachocharaza katika kivinjari hadi kwenye seva za Google, ikikuruhusu kutumia teknolojia hiyo hiyo ya kukagua tahajia inayotumiwa na utafutaji wa Google.</translation>
<translation id="7205698830395646142">Ficha katika Menyu ya Chromium</translation>
<translation id="7223968959479464213">Kidhibiti cha Shughuli - Chromium</translation>
<translation id="722928257909516027">Onyesha menyu ya Chromium</translation>
<translation id="731644333568559921">Sasisha Chromium OS</translation>
<translation id="731795002583552498">Inasasisha Chromium</translation>
<translation id="7318036098707714271">Faili yako ya mapendeleo imeharibika au ni batili. 

Chromium haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="7331920710658926971">Sakinisha Chromium kwenye simu yako. Tutatuma SMS kwenye simu yako.</translation>
<translation id="7337881442233988129">Chromium</translation>
<translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
<translation id="734373864078049451">Wavuti, alamisho, na mambo yako mengine ya Chromium yanapatikana hapa.</translation>
<translation id="7344413941077984497">Ili uweke tovuti ambazo <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> anaweza kuona, unaweza kuweka mipangilio ya vikwazo kwa kutembelea <ph name="BEGIN_LINK_1" /><ph name="DISPLAY_LINK" /><ph name="END_LINK_1" />. Usipobadilisha mipangilio chaguo-msingi, <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> anaweza kuvinjari kila kitu kwenye wavuti.

Ili umzuie <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> asifikie akaunti yako, hakikisha kuwa umefunga wasifu wako wakati hutumii Chromium. Ili kufunga wasifu wako, bofya jina la wasifu wako kwenye upande wa juu kulia mwa kivinjari chako na uchague "Ondoka kwenye wasifu wa sasa."
<ph name="BEGIN_LINK_2" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK_2" />
Tafadhali angalia barua pepe yako katika <ph name="ACCOUNT_EMAIL" /> upate maagizo zaidi.</translation>
<translation id="7473891865547856676">La Asante</translation>
<translation id="7483335560992089831">Haiwezi kusakinisha toleo sawia la Chromium ambalo linaendeshwa hivi sasa. Tafadhali funga Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="7549178288319965365">Kuhusu Chromium OS</translation>
<translation id="7577193603922410712">Sasisho maalum la usalama wa Chromium limetumiwa; unapaswa kuzima na kuwasha Chromium sasa ili lifanye kazi (tutarejesha vichupo vyako).</translation>
<translation id="761356813943268536">Chromium inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
<translation id="7617377681829253106">Chromium imeboreshwa</translation>
<translation id="7641113255207688324">Chromium si kivinjari chako chaguo-msingi.</translation>
<translation id="7729447699958282447">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="7745317241717453663">Hatua hii itafuta data yako ya kuvinjari kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="7756122083761163394">Data ya kuvinjari ya mtu huyu itafutwa kwenye kifaa hiki. Ili kurejesha data, ingia katika Chrome ukitumia $2.</translation>
<translation id="7774736947049807614">Cheti hakijathibitishwa. Tafadhali ingia katika Chromium tena ukitumia <ph name="USER_NAME" /> au uwasiliane na msimamizi wako kwa maelezo zaidi. <ph name="ADDITIONAL_EXPLANATION" /></translation>
<translation id="7867198900892795913">Chromium imeshindwa kusasisha toleo jipya, kwa hivyo hutapata vipengele vipya na masasisho ya usalama.</translation>
<translation id="7937630085815544518">Uliingia kwenye Chromium kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Tafadhali tumia akaunti hiyo hiyo kuingia tena.</translation>
<translation id="795025003224538582">Usianzishe upya</translation>
<translation id="7962572577636132072">Chromium husasisha kiotomatiki, kwa hivyo, utakuwa na toleo jipya zaidi wakati wowote.</translation>
<translation id="7975919845073681630">Huu ni usakinishaji wa pili wa Chromium, na haiwezi kufanywa kuwa kivinjari chako chaguo-msingi.</translation>
<translation id="7979877361127045932">Ficha katika menyu ya Chromium</translation>
<translation id="8030318113982266900">Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha <ph name="CHANNEL_NAME" />...</translation>
<translation id="8134284582177628525">Ukishiriki kompyuta hii na <ph name="PROFILE_NAME" />, jiongeze kwenye Chromium ili uvinjari tofauti. Vinginevyo ondoa Akaunti yake ya Google.</translation>
<translation id="8157153840442649507">Chromium inaonyeshwa katika lugha hii</translation>
<translation id="81770708095080097">Faili hii ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="8222496066431494154">Sakinisha Chromium kwenye simu yako. Tutatuma SMS kwenye nambari yako ya simu ya mbinu za kurejesha uwezo wa kufikia akaunti: <ph name="PHONE_NUMBER" /></translation>
<translation id="8269379391216269538">Saidia ili kuiboresha Chromium</translation>
<translation id="8290862415967981663">Huenda faili hii ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="8328596990138326317">Chromium inahitaji ruhusa ya kufikia kamera na maikrofoni yako kwa ajili ya tovuti hii.</translation>
<translation id="8340674089072921962"><ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" /> ilikuwa ikitumia Chromium awali</translation>
<translation id="8453117565092476964">Kumbukumbu ya kisakinishi imeharibika au ni batili. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="8493179195440786826">Chromium Imepitwa na Wakati</translation>
<translation id="8563206822260884157">Tumia nenosiri thabiti lililozalishwa na Chromium</translation>
<translation id="85843667276690461">Pata msaada kwa kutumia Chromium</translation>
<translation id="8586442755830160949">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Wasanidi wa Chromium. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="8590769996813453836">Chromium imegundua programu hatari kwenye kompyuta yako. Chromium inaweza kuiondoa na kurejesha mipangilio yako ili kuwezesha kivinjari chako kufanya kazi tena kama kawaida.</translation>
<translation id="8621669128220841554">Usakinishaji ulishindwa kwa sababu ya hitilafu isiyobainika. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="8628626585870903697">Chromium haijumuishi kitazamaji cha PDF kinachohitajika ili Uhakiki wa Uchapishaji ufanye kazi.</translation>
<translation id="8667808506758191620">Kifaa chako cha <ph name="DEVICE_TYPE" /> kimesasishwa.</translation>
<translation id="8697124171261953979">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.</translation>
<translation id="8704119203788522458">Hii ni Chromium yako</translation>
<translation id="872034308864968620">Acha Chromium Iendelee Katika Madnarinyuma</translation>
<translation id="8803635938069941624">Masharti ya Chromium OS</translation>
<translation id="8821041990367117597">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="8851136666856101339">kuu</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="8897323336392112261">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapobofya kitufe cha Mwanzo.</translation>
<translation id="8907580949721785412">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
<translation id="8941642502866065432">Imeshindwa kusasisha Chromium</translation>
<translation id="894903460958736500">Programu unayotumia kwenye kompyuta haioani na Chromium.</translation>
<translation id="8968921422458636175">Chromium itahifadhi nenosiri hili kwenye <ph name="SAVED_PASSWORD_LINK" />. Huhitaji kulikumbuka.</translation>
<translation id="8974095189086268230">Chromium OS imewezeshwa na programu za ziada za <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS" />.</translation>
<translation id="8985587603644336029">Awali kuna mtu aliingia katika Chromium kwenye kompyuta hii kama <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST" />. Iwapo hiyo si akaunti yako, fungua mtumiaji mwengine wa Chromium ili utenge maelezo yako.

Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chromium kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye <ph name="ACCOUNT_EMAIL_NEW" />.</translation>
<translation id="9013087743919948559">Ongeza kwenye Chromium</translation>
<translation id="9019929317751753759">Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima kiendelezi kinachofuata ambacho hakijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na huenda kimeongezwa bila ridhaa yako.</translation>
<translation id="9022552996538154597">Ingia kwenye Chromium</translation>
<translation id="9036189287518468038">Kizinduzi cha Programu ya Chromium</translation>
<translation id="9089354809943900324">Chromium imepitwa na wakati</translation>
<translation id="91086099826398415">Fungua Kiungo katika kichupo kipya cha Chromium</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
<translation id="918373042641772655">Kuondoa <ph name="USERNAME" /> kutafuta historia, alamisho, mipangilio, na data zako nyingine kwenye Chromium zilizohifadhiwa kwenye kifaa hiki. Data iliyohifadhiwa katika Akaunti ya Google haitafutwa na inaweza kudhibitiwa kwenye <ph name="GOOGLE_DASHBOARD_LINK" />Dashibodi ya Google<ph name="END_GOOGLE_DASHBOARD_LINK" />.</translation>
<translation id="9190841055450128916">Chromium (mDNS-In)</translation>
<translation id="9197815481970649201">Sasa umeingia kwenye Chromium</translation>
<translation id="95514773681268843"><ph name="DOMAIN" /> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Chromium OS.</translation>
<translation id="985602178874221306">Waandishi wa Chromium</translation>
</translationbundle>