Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako. Kuripoti uharibifu hakupatikana katika Chromium. Chromium haiwezi kuonyesha ukurasa wa wavuti kwa sababu kompyuta yako haijaunganishwa kwenye Intaneti . Chromium imerahisishwa na mradi wa programu huria ya Chromium na programu nyingine huria. Nenda kwenye menyu ya Chromium > Mipangilio > Faragha (Iliyoboreshwa) na uzime "Leta mapema rasilimali za kurasa." Ikiwa hili halitatui tatizo, tunapendekeza uwashe chaguo hili tena kwa utendaji ulioimarishwa. Nenda kwenye menyu ya Chromium > > > > Mipangilio ya LAN na uondoe tiki "Tumia seva ya proksi kwa kikasha kaguzi chako cha LAN". Nenda kwenye menyu ya Chromium > > > na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye "hakuna proksi" au "moja kwa moja." Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua upya Chromium. Nenda kwenye menyu ya Chromium > na uondoe tiki kwenye "." Ikiwa hili halitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena chaguo hili kwa utendaji ulioboreshwa. Nenda kwenye Programu > Mapendeleo ya Mfumo > Mtandao > Uboreshaji > Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa. Ruhusu Chromium ifikie mtandao kwenye mipangilio yako ya ngome au kingavirusi.